Hafla ya maafali ya St. Therese Lisieux ya Ukonga Posted on: September 5, 2011 - jomushi Baadhi ya walimu wa Shule ya ST. Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye hafla ya mahafali ya Std Seven katika shule hiyo.