Picha za Mauaji Ya Kikatili katika Shopping Mall Yalliyotokea Nairobi Kenya Posted on: September 22, 2013September 23, 2013 - admin
Jaman ndugu zetu inatia huruma sana binadam tunavyofanyiana ‘ mwenyezi Mungu awatie nduvu familia zote zilizopata msiba huo. Amen
Poleni sana majirani zetu.
jamani tunawaombea sana.Watu wameigeuza dunia tambara bovuu.Eee Mungu uturehemu.
Jaman ndugu zetu inatia huruma sana binadam tunavyofanyiana ‘ mwenyezi Mungu awatie nduvu familia zote zilizopata msiba huo. Amen