‘Wadau tuchangamkie Scholarship za Chuo cha Sheffield, Uingereza’

Sheffield University

Taariza zilizotufikia hapa dev.kisakuzi.com ni kwamba chuo cha Sheffield kinazo Scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa Kitanzania walioonyesha uhodari mkubwa katika masomo yao, na wana dhamiria kujiunga na Chuo hicho Septemba, 2011.

Kwa maelezo zaidi, fika ofisi za wawakilishi wa Chuo waliopo Tanzania kwa anuani ifuatayo:

Wawakilishi Tanzania

Wawakilishi maalum wa Chuo cha Sheffield Tanzania ni:

Uniserv Tanzania
Haidery Plaza, 1st Floor
A. H. Mwinyi Road/Kisutu Street.
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 0(22) 2129036
Mobile: +255 787 019037 or +255 787 019047.
Fax: +255 0(22) 2129037

email : tz@uniserveducation.com

Ukipenda unaweza pia ukatembelea British Council, ili kupata maelezo zaidi ya namna ya kuishi na kusoma Sheffield.

Related Post

3 thoughts on “‘Wadau tuchangamkie Scholarship za Chuo cha Sheffield, Uingereza’

  1. Hello There. I found your blog using msn. This is an extremely well written article. I’ll make sure to bookmark it and come back to read more of your useful information. Thanks for the post. I will definitely return.

  2. Mambo vp kijana. kuna mshkaj wangu flani alikuwa anataka kurusha picha zake kama mbili hv kwenye blog yenu. sasa sijui tunamsaidia vp.

    regards
    rahim

Comments are closed.