
![]() |
| Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi. |
![]() |
| Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo, wakimsikiliza mstahiki Meya, Jafary Michael (hayuko pichani). |
![]() |
| Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary Michael akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimkaribisha Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freman Mbowe kuhutubia wananchi katika viwanja vya Railway mjini Moshi. |
![]() |
| Mbowe akiagana na wananchi waliohudhuria mkutano huo . |
![]() |
| Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na wananchi waliojirtokeza katika mkutano huo. |
| Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |















