Redd’s miss Tanzania 2013 mrembo Happiness Enock Watimanywa toka mkoani Dodoma akiwa na washindi wa wenzake wa shindano la Redd’s miss Tanzania mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi kwenye shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani Cituy jijini Dar es Salaam. Kulia ni mshindi wa Pili Latifa Mohamed toka kanda ya Temeke na kushoto ni mshindi wa tatu Clara Bayo toka kanda ya TemekeWarembo walioingia tano bora Redd’s miss Tanzania 2013Warembo walioingia tano bora Redd’s miss Tanzania 2013 mrembo Happiness Enock Watimanywa toka mkoani Dodoma akiwa na washindi wa wenzake wa shindano la Redd’s miss Tanzania mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi kwenye shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani Cituy jijini Dar es Salaam. Kulia ni mshindi wa Pili Latifa Mohamed toka kanda ya Temeke na kushoto ni mshindi wa tatu Clara Bayo toka kanda ya TemekeDodoma Yatoa Redd’s Miss Tanzania 2013, Ni Happiness Watimanywa