
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Katiba na Sheria, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo
katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar

Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na
Sheria, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika
Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar ,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif, [ Picha na Ramadhan
Othman,IKULU.]
