
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa
Tanzania Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa
ajili ya kusalimiana na Rais
Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Msajili wa Vyama vya Siasa
Tanzania Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,baada
ya mazungumzo yao leo
![Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana na Rais leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/12/Dk-Shein2.jpg)
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa
Tanzania Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa
ajili ya kusalimiana na Rais leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
