
Shamuhuna,(katikati) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipofungua madarasa mapya
kusomea ya Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba
jana,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa huo. [Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]

Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua madarasa mapya kusomea
ya Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba
jana,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa huo. [Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]

Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza
nao baada ya kufungua madarasa mapya ya kusomea Skulini hapo
jana,akiwa katika ziara ya kikazi ndani ya Mkoa huo. [Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
