Dk. Shein amuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Posted on: May 18, 2012May 18, 2012 - jomushi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha, Mdungi Makame Mdungi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)