
Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Dk.Rawya Saud
Al Busaid,Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Waziri wa Elimu
ya Juu wa Nchini Oman,Dk.Rawya Saud Al Busaid,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO)
Irina Bokovas,akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
