Dk. Shein afanya mazungumzo na Balozi wa India Posted on: September 6, 2012 - jomushi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania Debnath Shaw alipofika Ikulu Mjini Zanzibar, kujitambulisha kwa Rais leo. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]