Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya uchimbaji Makaa ya Mawe, Tancoal, Graeme Robertson, wakati alipotembelea mradi wa Uchimbaji Makaa ya Mawe unaoendelea eneo la Ruanda Wilaya ya Mbinga, wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Ruvuma jana Februari 16, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi katika mradi wa mashine za kuzalisha umeme Wilayani Mbinga, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma, Februari 16, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipandda mti wa kumbukumbu baada ya kuzindua mashine za kuzalisha umeme Wilaya ya Mbinga, wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Ruvuma jana Februari 16, 2012, ambapo pia alitembelea na kukagua mradi wa uchimbaji wa makaa ya mawe ya Ruanda. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.Msanii Ofisa Utamaduni Mstaafu wa Wilaya ya mbinga, Benedict Maundi, akifurahia huku akipiga 'Vuvuzela la asili' wakati wa mapokezi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, alikuwa akiwasili kuzindua mashine za kuzalisha umeme Wilaya ya Mbinga jana Februari 16, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
One thought on “Dk. Bilal atembelea uchimbaji makaa ya mawe Ruanda, azindua pia mradi wa kuzalisha umeme Mbinga”
Wakati fulani ilikuwa ni miradi ya KILIMO tu.Viongozi sasa wanawajibu mkubwa wa kuwaandaa wananchi.
1.Wanachi wajue kuwa sasa uchumi unaendeshwa na viwanda vya migodi na kilimo.
2.Wanachi wakazi wa maeneo yale ambayo miradi ya migodi inaanzishwa wasiachwe kuwa watazmaji washiriki kwa namna mbalimbali ,ajira na biashara katika miradi.
3.Athari za mazingira zifahamishwe kwa wananchi iliwaweze kuendeleza upande mwingine kile kinachoondolewa eneo la mradi.