Dk. Bilal aongoza majadiliano Mkutano wa Uwekezaji Chakula na Kilimo Posted on: November 11, 2011November 11, 2011 - jomushi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza Novemba 10, 2011 kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.