Dk. Bilal akutana na Mwilima nyumbani kwake Posted on: November 6, 2011 - jomushi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwilima, wakati akiagana na wageni wake waliomtembelea kwenye makazi yake Oysterbay leo.