
![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga alipofanya kikao na viongozi wa hospitali ya rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro. |
![]() |
Baadhi ya wakuu wa idara waliongozana na mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga alipofanya ziara katika hospitali hiyo. |
![]() |
Baadhi ya wakuu wa vitengo katika hospitali ya KCMC. |
![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akiwa katika kitengo cha macho alipofanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC. |
![]() |
DC Makunga akitoka kitengo cha macho akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk. Giliard Masenga. |
![]() |
DC Makunga akipita katika wodi mbalimbali hospitalini hapo. |
![]() |
Dk Bingwa wa magonjwa ya figo, Dk. Kilonzo akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga alipotembelea hospitali hiyo. |
![]() |
Mkuu wa wilaya akizungumza jambo mara baada ya kutembelea chumba chenye mashine ya CT -Scan katika hospitali hiyo, kulia ni mkuu wa kitengo hicho Dk. Fatma. |
![]() |
Mwangalizi wa sehemu ya kuhifadhia maiti katika hospitali ya rufaa ya KCMC, Bwana Issa akitoa maelezo kwa DC Makunga (hayupo pichani ) alipotemblea chumba hicho. |