Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Uchambuzi
  • Page 75

Category: Uchambuzi

Jukwaa la Wahariri Tanzania Lakutana, Lalaani Kufungiwa Magazeti

Posted on: October 4, 2013 - jomushi
Jukwaa la Wahariri Tanzania Lakutana, Lalaani Kufungiwa Magazeti

Kikao cha Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri kilichofanyika leo, Alhamisi, Oktoba 3, mwaka 2013, kimejadili uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania. Wajumbe…

Continue Reading....

Matapeli Wengine wa Mtandao Waibuka…!

Posted on: October 1, 2013 - jomushi
Matapeli Wengine wa Mtandao Waibuka…!

NIMEONA ninawajibika kuwataarifu kuhusu kuwepo kwa vijana wa Kitanzania ambao wamejiingiza katika mtandao wa kitapeli ambapo wamekuwa wanatangaza kuwa wanatoa mikopo kupitia Kampuni wanayoiita SOCIAL…

Continue Reading....

Katiba ni Mwafaka wa Kitaifa, Viongozi Zungumzeni

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Katiba ni Mwafaka wa Kitaifa, Viongozi Zungumzeni

Na Zitto Kabwe KWA takribani wiki tatu sasa kumekuwa na sintofahamu kuhusu muswada wa sheria uliopitishwa na Bunge ili kufanya marekebisho ya sheria ya marekebisho…

Continue Reading....

Tamko la Wanaharakati Juu ya Mchakato wa Katiba Tanzania

Posted on: September 18, 2013 - jomushi
Tamko la Wanaharakati Juu ya Mchakato wa Katiba Tanzania

SISI, TGNP Mtandao, Haki Elimu, LHRC, Jukwaa la Katiba, TAMWA, Policy Forum na Mtandao wa Wanawake na Katiba, tukishirikiana na wana semina za jinsia na…

Continue Reading....

Stand Up For African Mothers, Stand Up For Tanzania Mothers…!

Posted on: September 15, 2013 - jomushi
Stand Up For African Mothers, Stand Up For Tanzania Mothers…!

Continue Reading....

Kauli ya Mengi Dhidi ya Tuhuma Zilizotolewa Kwake…!

Posted on: September 12, 2013 - jomushi
Kauli ya Mengi Dhidi ya Tuhuma Zilizotolewa Kwake…!

SEPTEMBA 7, 2013 nilipokea barua pepe (email) yenye kichwa cha habari kisemacho “ubinafsi/ufisadi wa MENGI na Chuki/Fitina kwenye Maendeleo”. Aliyetuma email hiyo alijitambulisha kama “CCM…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari