Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Uchambuzi
  • Page 47

Category: Uchambuzi

Tanzania Kuongoza Afrika Maboresho Utoaji Haki za Watuhumiwa

Posted on: September 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Afrika, Tanzania Maboresho, Utoaji Haki za Watuhumiwa
Tanzania Kuongoza Afrika Maboresho Utoaji Haki za Watuhumiwa

TANZANIA KUONGOZA NCHI ZA AFRIKA KATIKA MABORESHO YA UTOAJI HAKI ZA WATUHUMIWA NA MAHABUSU Utekelezaji wa miongozo ya Luanda kuimarisha haki za binadamu nchini UTEKELEZAJI…

Continue Reading....

Kikwete Amvalisha Chiligati ‘Kiatu’ cha Makinda…!

Posted on: September 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Chiligati, kikwete, Makinda
Kikwete Amvalisha Chiligati ‘Kiatu’ cha Makinda…!

“NIMSHUKURU Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete kwa kuniona na kuniamini na hivyo, kuniteua ili niweze nami kuvaa kiatu anachokiacha…

Continue Reading....

Viongozi Wataka Katiba Ijayo Imtambue Mtoto na Haki Zake

Posted on: August 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Haki zao, katiba, Viongozi, Watoto
Viongozi Wataka Katiba Ijayo Imtambue Mtoto na Haki Zake

Na Joachim Mushi MCHAKATO wa kujadili na kuandika Katiba Mpya unaendelea bungeni mjini Dodoma, licha ya kuwepo kwa mvutano na mgawanyiko wa makundi ya wabunge…

Continue Reading....

Je, Kwanini Wanawake Husifika kwa Vitendo vya Ukatili?

Posted on: August 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Vitendo vya Ukatili, wanawake
Je, Kwanini Wanawake Husifika kwa Vitendo vya Ukatili?

Na Happy Joseph NIMEJARIBU kuchambua kwa kadri nilivyoweza na kwa ufupi(japo haitaonekana kama uchambuzi mfupi) Matukio ya kinyama kwa ujumla wake bila kuseparate jinsia yanasababishwa…

Continue Reading....

Gesi si Mwarobaini wa Umasikini, Kazi Shambani

Posted on: August 23, 2014August 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Gesi si Mwarobaini, Shambani, umasikini
Gesi si Mwarobaini wa Umasikini, Kazi Shambani

Na Zitto Kabwe TANZANIA kama ilivyo kwa Bara la Afrika ni miongoni mwa nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi. Inakadiriwa kwamba kati ya mwaka 2012…

Continue Reading....

Blogu ya Masuala ya Ujenzi Yatambulishwa

Posted on: August 19, 2014 - jomushi
Blogu ya Masuala ya Ujenzi Yatambulishwa

KARIBUNI wadau wote katika Blog yenu mpya ya wanaujenzi, hapa tutakuwa pamoja  kushirikiana kwa mawazo, ushauri, ujuzi tulioupata wenyewe na kwa ujuzi wa wataalamu waliosomea fani ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari