WASOMAJI na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu pia na…
Continue Reading....Category: Uchambuzi
Azimio la Mtwara – Uwajibikaji Katika Uvunaji wa Maliasili ya Nchi Yetu
TANZANIA kama zilivyo nchi nyingi za bara la Afrika imejaaliwa kuwa na Rasilimali mbali mbali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na Madini…
Continue Reading....Kwanini Bei ya Mafuta Haishuki kwa Kasi?
KUANZIA Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei…
Continue Reading....Maneno ya Rais Kikwete kwa Watanzania 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi kwa kumuandalia hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini…
Continue Reading....Kitabu Kilichobadili Mtazamo wa Maisha ya Zitto Kabwe
MWAKA 2014 nimesoma vitabu 53 na nimefanya uchambuzi wa vitabu 21 kupitia safu ya Kitabu na Kalamu ya gazeti la Raia Tanzania kila Jumatatu. Tangu…
Continue Reading....Ujumbe wa Sikuu Kuu ya Chrismass Toka kwa Anko Kidevu
KESHO ni siku ya Siku Kuu, pasi na shaka hakuna mtu ambaye halijui hilo. Siku Kuu ya Chrismas na mwaka mpya ni siku kuu ambazo hufuatana na…
Continue Reading....