Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Uchambuzi
  • Page 118

Category: Uchambuzi

Tamko la HakiElimu kuhusu Mgomo wa Walimu Tanzania, Agosti 2012

Posted on: August 2, 2012 - jomushi

CHAMA Cha Walimu Tanzania (CWT) kiliitisha mgomo kwa walimu wote nchini kuanzia Jumatatu tarehe 30 Julai 2012 mpaka kitakapowajulisha vinginevyo. CWT kinaona mgomo ndio njia…

Continue Reading....

Vodacom yalalamikiwa kuhusu upendeleo tuzo za blogu, tovuti

Posted on: August 1, 2012 - jomushi
Vodacom yalalamikiwa kuhusu upendeleo tuzo za blogu, tovuti

Ujumbe wa Makene kuhusiana na tuzo za bloggerz zilizotolewa na Vodacom Hivi majuzi niliskia kuwepo kwa tuzo za waandishi wa habari za mtandaoni maarufu kama…

Continue Reading....

HOTUBA YA DK. JAKAYA KIKWETE, RAIS WA TANZANIA, KWA WANANCHI, JULAI 31, 2012

Posted on: August 1, 2012 - jomushi
HOTUBA YA DK. JAKAYA KIKWETE, RAIS WA TANZANIA, KWA WANANCHI, JULAI 31, 2012

HOTUBA YA DK. JAKAYA KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JULAI, 2012 Ndugu Wananchi; Naomba nianze kwa kuomba radhi…

Continue Reading....

MAELEZO BINAFSI YA ZITTO ZUBERI KABWE DHIDI YA TUHUMA ZA RUSHWA

Posted on: August 1, 2012 - jomushi
MAELEZO BINAFSI YA ZITTO ZUBERI KABWE DHIDI YA TUHUMA ZA RUSHWA

Ndugu Waandishi, Nalazimika kukutana nanyi kutoa maelezo juu ya tuhuma zenye shinikizo la kisiasa zinazoelekezwa kwangu binafsi kwamba hata mimi nimeshiriki katika vitendo vya rushwa,…

Continue Reading....

Hoja ya Serikali kulifungia Gazeti Mwanahalisi

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Hoja ya Serikali kulifungia Gazeti Mwanahalisi

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelifungia kutochapishwa gazeti la MwanaHalisi kuanzia 30 Julai, 2012 kwa muda usiojulikana kutokana na mwenendo wake wa kuandika…

Continue Reading....

Maganzo: Mji wenye utajiri wa almasi usio na huduma ya maji

Posted on: July 30, 2012 - jomushi
Maganzo: Mji wenye utajiri wa almasi usio na huduma ya maji

Na Joachim Mushi, Kishapu KWA mtazamo wa kawaida ni kitendo cha kawaida kwa mji wowote kuendelea kutokana na rasilimali zake zinaouzunguka mji huo. Maeneo mengi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari