Blogs Tanzania | News |  Michuzi ya Habari leo

 

Category archives for: Uchambuzi

The 50th Anniversary of the African Union, the Successor to the African

Africa Flag Map normal

HOW FAR IS THE UNITED STATES OF AFRICA? Dr. Motsoko Pheko The 50th anniversary of the African Union (AU), the successor to the African Organisation of African Unity (OAU) is upon the African people this 25th May 2013. Both Organisations were formed with the main objective of ultimately bringing about the United States of Africa. [...]

Warsha ya Wazi Kujadili Matokeo ya Uchambuzi wa Kina Maeneo ya Kipaumbele ya Kitaifa

20130523-121714.jpg

Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (Ikulu) inawatangazia na kuwaalika wadau na wananchi wote kuhudhuria Warsha ya Wazi (Open Day) kupata maelezo, kujadili na kutoa maoni juu ya miradi na program zitakazotekelezwa na Serikali kwa kipindi cha miaka mitatu (2013/14 hadi 2015/16) katika maeneo ya kipaumbele yaliyoainishwa katika Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16). Miradi [...]

Fani ya Uandishi wa Habari Imevamiwa…!

waandishi wa habari wakiwa Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika maandamano

WATU wengi kwa sasa wameibuka na kutokea kuipenda fani ya uandishi wa habari bila kujua misingi na miiko ya uandishi wa habari. Tatizo moja ambalo limeonekana ni kubwa sana ni utandawazi ambao umekuwepo na kutokea ibuko la kila kijana kufungua gazeti tando (blog). Hatukatai kuja kwa magazeti tando ila naomba tujiulize, yanatumika ipasavyo ama ndiyo [...]

Mnyika na Waraka wa Muswada wa Baraza la Vijana la Taifa wa Mwaka 2013

John Mnyika (Mb) 

Mnyika na Waraka wa Muswada wa Baraza la Vijana la Taifa wa Mwaka 2013 VIJANA wenzangu na wote wenye dhamira ya kuwezesha maendeleo ya vijana nchini, salaam!  Mtakumbuka kwamba mwezi Januari 2013 nilitoa taarifa kwa umma ya kueleza kuwa niliwasilisha kwa Katibu wa Bunge Muswada Binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana la Taifa na [...]

Maoni ya Mbunge Kabwe Zitto Dhidi ya Rasimu ya Sera ya Gesi Asilia

Kitabu cha rasimu ya Sera ya Gesi Asilia

“NIMEPATA muda kidogo wa kuipitia hii rasimu ya 3 nikiwa safarini kwenda Tabora kwa shughuli za chama changu cha CHADEMA, nina maoni ya awali kama ifuatavyo; 1). Kwa ujumla kupata Sera mpya ya gesi asilia ni hatua muafaka japo imechelewa sana. Hata hivyo ni bora kuchelewa kuliko kutofika kabisa. Ni vema wananchi wachukue fursa hii [...]

EXTERNAL VACANCY NOTICE – UNHCR

EXTERNAL VACANCY NOTICE

UNHCR United Nations High Commissioner for Refugees Representation in Tanzania Plot 1658, Masaki Tel.: +255 22 2602708-10 P. O. Box 2666 +255 22 2602720-21 Dar es Salaam Fax: +255 22 2602757/58 Email: tanda@unhcr.org EXTERNAL VACANCY NOTICE UNHCR Representation Office, Dar es Salaam invites applications from qualified candidates for the following vacant post. Vacancy Notice No: [...]

Barua ya Zitto kwa Waziri na Utetezi wa Wasanii

Baadhi ya wasanii Tanzania

PENDEKEZO BINAFSI LA MBUNGE KUHUSU KUZUIA UNYONYAJI DHIDI YA WASANII WA TANZANIA KATIKA BIASHARA YA MIITO (RING BACK TONES) Kwenda kwa: DR ABDALLAH KIGODA, Waziri wa Viwanda na BiasharaKuhusu: BIASHARA YA MIITO YA SIMU (RINGBACK TONES) Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kuhusu biashara ya mauzo ya nyimbo kamamiito kwenye simu. Malalamiko haya yalianzia kwa wasanii [...]

 

 

Log in |

 

Google+