Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 98

Category: Matukio Katika Picha

NMB Yashiriki Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Kilimanjaro

Posted on: May 29, 2016 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
NMB Yashiriki Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Kilimanjaro

Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi, Emanuel Kashusho akikabidhi zawadi ya T-shirt, Kalamu na Key holder kwa mgeni rasmi, Wencelaus…

Continue Reading....

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kijazi Afanya Ziara Hospitali ya Kinondoni

Posted on: May 26, 2016 - jomushi
Post Tags: Ikulu
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kijazi Afanya Ziara Hospitali ya Kinondoni

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando (kushoto), akitoa taarifa fupi kabla ya kumribisha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (katikati), wakati…

Continue Reading....

Mwanahabari Makongoro Oging’ Aagwa na Kusafirishwa kwa Mazishi…!

Posted on: May 26, 2016 - jomushi
Mwanahabari Makongoro Oging’ Aagwa na Kusafirishwa kwa Mazishi…!

 Picha ya Mwanahabari Makongoro Oging’ enzi za uwai wake.  Mmiliki wa Blog ya Michuzi, Issa Michuzi akitoa heshima za kwa mwili wa marehemu.  Mhariri wa…

Continue Reading....

ESRF Yafanya Semina Kujadili Mpango wa Maendeleo Endelevu…!

Posted on: May 26, 2016May 26, 2016 - jomushi
ESRF Yafanya Semina Kujadili Mpango wa Maendeleo Endelevu…!

Na Rabi Hume KATIKA kusaidia kukamilika kwa Mpango wa Maendeleo Endelevu ambao unataraji kumalizika 2030, Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Kijamii (ESRF) imefanya warsha ambayo…

Continue Reading....

Kariakoo Family Development Foundation Yazinduliwa Rasmi…!

Posted on: May 23, 2016 - jomushi
Post Tags: Ngazi ya Jamii
Kariakoo Family Development Foundation Yazinduliwa Rasmi…!

Wakongwe wa Kariakoo Senpai Yusuf Kivuli (kushoto) na Senpai Waheed  wakiwa katika shoo  ya Goju Ryu Karate  katika uzinduzi wa Kariakoo Family Development Foundation.  …

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Akutana na Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na Kamishna wa TRA

Posted on: May 23, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Akutana na Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na Kamishna wa TRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na Rais…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari