Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 94

Category: Matukio Katika Picha

Serikali Yasitisha Matumizi ya Daraja la Mbaka, Kibhundughulu

Posted on: June 16, 2016June 17, 2016 - jomushi
Serikali Yasitisha Matumizi ya Daraja la Mbaka, Kibhundughulu

  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla mwenye miwani akitizama maendeleo ya ujenzi wa daraja Mbaka katika kijiji cha Kibhundughulu  wilayani Rungwe Mkoani Mbeya…

Continue Reading....

NSSF Yaelimisha Wajasiliamali Mwanza, Ni Kuhusu Huduma Zao

Posted on: June 16, 2016 - jomushi
Post Tags: NSSF
NSSF Yaelimisha Wajasiliamali Mwanza, Ni Kuhusu Huduma Zao

Ofisa Uandikishaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Kwandu Ikombe (kushoto), akiwaandikisha wanachama wapya wa NSSF katika eneo la Tanganyika Bus mjini…

Continue Reading....

Mashindano ya Kuhifadhi Quraan Zanzibar Yafanyika…!

Posted on: June 14, 2016 - jomushi
Mashindano ya Kuhifadhi Quraan Zanzibar Yafanyika…!

Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar wakifuatilia mashindano hayo yanayofanyika katika Masjid Loota Kiembesamaki Zanzibar na kuwashirikisha Vijana wa Umri mbali.  Viongozi wa Kamati…

Continue Reading....

NSSF Yatoa Elimu kwa Umma Kuhusu Mafao na Huduma Mwanza

Posted on: June 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Wadau NSSF
NSSF Yatoa Elimu kwa Umma Kuhusu Mafao na Huduma Mwanza

  Baadhi ya wananchi wakisubiri kujiandikisha uanachama wakati wa zoezi maalumu la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF, ambapo zoezi…

Continue Reading....

Madereva Bodaboda Dodoma Waandikishwa Uanachama wa NSSF

Posted on: June 12, 2016 - jomushi
Post Tags: NSSF
Madereva Bodaboda Dodoma Waandikishwa Uanachama wa NSSF

  Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara akiongea na Madereva wa Bodaboda (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa rasmi wa Kampeni ya Kuandikisha Madereva…

Continue Reading....

Miss Tanzania 1999 Asaidia Kituo cha Yatima Matumaini, Dodoma

Posted on: June 10, 2016 - jomushi
Post Tags: Watoto Yatima
Miss Tanzania 1999 Asaidia Kituo cha Yatima Matumaini, Dodoma

  IMEELEZWA kuwa ili kuwawezesha watoto yatima ambao walizaliwa wakiwa na Virusi vya UKIMWI ambao wanapatikana katika Kituo cha Matumaini kilichopo Manispaa ya Dodoma, Watanzania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari