Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 92

Category: Matukio Katika Picha

Naibu Spika Dk Tulia Aosha Magari ya Wabunge, Mawaziri Kuwaunga Mkono Wanahabari

Posted on: June 26, 2016 - jomushi
Post Tags: Waandishi wa Habari
Naibu Spika Dk Tulia Aosha Magari ya Wabunge, Mawaziri Kuwaunga Mkono Wanahabari

          Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto) akiosha moja ya magari ya…

Continue Reading....

Media Car Wash yaanza kwa mafanikio Dodoma

Posted on: June 25, 2016 - jomushi
Post Tags: wasanii
Media Car Wash yaanza kwa mafanikio Dodoma

Mwenyekiti wa Bunge Sports, William Ngeleja akisalimiana na Mkurugenzi wa Utafiti na Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Athuman Rehani wakati wa…

Continue Reading....

Harambee ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari Kufanyika Dodoma Juni 25

Posted on: June 23, 2016 - jomushi
Post Tags: Waandishi wa Habari
Harambee ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari Kufanyika Dodoma Juni 25

      KAMATI ya Maandalizi ya tukio la Okoa Maisha ya waandishi wa habari, imeandaa harambee maalumu ya kuosha magari yaani Media Car wash…

Continue Reading....

Dk. Regnald Mengi Achangia Madawati 1,000

Posted on: June 23, 2016 - jomushi
Post Tags: Reginald Mengi
Dk. Regnald Mengi Achangia Madawati 1,000

  KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli za kuhakikisha tatizo la madawati nchini linamalizika hadi kufikia Juni, 30 mwaka huu, Mkurugenzi Mkuu wa Mashirika ya…

Continue Reading....

Ubia wa TTCL na Bharti Airtel Wafikia Kikomo

Posted on: June 23, 2016 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
Ubia wa TTCL na Bharti Airtel Wafikia Kikomo

Msajili wa Hazina, Laurence Mafuru (wa kwanza kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Profesa Tolly Mbwete (katikati) hati ya mauzo ya hisa asilimia 35…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Ahudhuria Maadhimisho ya Miaka 50 ya Benki Kuu Tanzania

Posted on: June 23, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Ahudhuria Maadhimisho ya Miaka 50 ya Benki Kuu Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Joseph Magufuli akizindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari