Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 84

Category: Matukio Katika Picha

CRDB Yamkabidhi Tiketi Mshindi wa Shinda na TemboCard…!

Posted on: July 24, 2016 - jomushi
Post Tags: Mashindano
CRDB Yamkabidhi Tiketi Mshindi wa Shinda na TemboCard…!

  Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (katikati), akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya tiketi ya…

Continue Reading....

Wanafunzi Watarajiwa UDSM Wafundwa Juu ya Maisha ya Chuo

Posted on: July 23, 2016July 26, 2016 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB, wanafunzi
Wanafunzi Watarajiwa UDSM Wafundwa Juu ya Maisha ya Chuo

            Bi. Sadaka Gandi (mbele) mmoja wa wawasilishaji mada katika semina hiyo akizungumza jambo kwa baadhi ya wanahabari. Semina hiyo…

Continue Reading....

Naibu Waziri Maliasili na Utalii Atembelea Hifadhi ya Taifa Rubondo

Posted on: July 23, 2016 - jomushi
Naibu Waziri Maliasili na Utalii Atembelea Hifadhi ya Taifa Rubondo

  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika Hifadhi ya Taifa ya Rubondo. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani akisalimiana…

Continue Reading....

Tigo Yatoa Madawati 200 Wilayani Nzega

Posted on: July 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Tigo Tanzania
Tigo Yatoa Madawati 200 Wilayani Nzega

    Mkuu wa Wilaya ya Urambo Bi. Angelina Kwingwa akikata utepe ishara ya kupokea msaada wa madawati Miamoja kutoka kampuni ya Tigo kanda ya…

Continue Reading....

CRDB Banki Yasaidia Madawati Wilayani Kakonko

Posted on: July 22, 2016 - jomushi
CRDB Banki Yasaidia Madawati Wilayani Kakonko

  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kakonko mkoani Kigoma Lusubilo Mwakabibi (aliyesimama kati kati) akizungumza muda mfupi kabla ya benki ya CRDB haijakabidhi madawati 100 yenye thamani…

Continue Reading....

Dk Mengi Ampelekea Ujumbe Mzito Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Posted on: July 22, 2016 - jomushi
Dk Mengi Ampelekea Ujumbe Mzito Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

ILI kufikia malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025, Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi (TPSF), Dk. Reginald Mengi amemtumia Waziri Mkuu wa Tanzania,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari