Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 79

Category: Matukio Katika Picha

Wafanyakazi wa NMB Moshi Wafanya Usafi Mitaani…!

Posted on: August 27, 2016 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB
Wafanyakazi wa NMB Moshi Wafanya Usafi Mitaani…!

  Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi wakiwa wamebeba vifaa kwa ajili ya kufanya usafi katika eneo la njia mbili…

Continue Reading....

Mwenge wa Uhuru Wazinduwa Miradi ya Bilioni 3 Arumeru

Posted on: August 27, 2016 - jomushi
Mwenge wa Uhuru Wazinduwa Miradi ya Bilioni 3 Arumeru

  Kiongozi wa Mbio za Mwenge  kitaifa mwaka 2016, George Mbijima akivalishwa Skafu na kijana wa Scout wakati wa kuanza kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika halmashauri ya wilaya…

Continue Reading....

Uzinduzi wa Msimu wa Tigo Fiesta 2016 Furahisha Mwanza

Posted on: August 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Tigo Fiesta 2016
Uzinduzi wa Msimu wa Tigo Fiesta 2016 Furahisha Mwanza

   Waziri wa habari, utamaduni na michezo,  Mhe. Nape Mnauye akizindua rasmi msimu mpya wa Tigo Fiesta 2016 kwa kunyanyua juu bendera maalum kwa kushirikiana…

Continue Reading....

TAMWA Yawakutanisha Wanahabari Kanda ya Ziwa

Posted on: August 19, 2016 - jomushi
TAMWA Yawakutanisha Wanahabari Kanda ya Ziwa

  CHAMA cha Wanahabari Wanawake nchini (TAMWA), kimewakutanisha wanahabari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, kujadili namna mafunzo yaliyotolewa na chama hicho kwa wanahabari hao wakati…

Continue Reading....

Rais Magufuli Ampa Bajaji Mlemavu Aliyejituma…!

Posted on: August 18, 2016 - jomushi
Post Tags: Rais Magufuli
Rais Magufuli Ampa Bajaji Mlemavu Aliyejituma…!

   

Continue Reading....

SAGCOT Yasaini Kusaidia Familia Masikini za Wafugaji

Posted on: August 15, 2016 - jomushi
SAGCOT Yasaini Kusaidia Familia Masikini za Wafugaji

  Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza tija na uzalishaji kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa mkoani Njombe, Iringa na Mbeya, Mfuko Kichocheo wa SAGCOT…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari