Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 646

Category: Matukio Katika Picha

Ajali mbaya Iringa

Posted on: May 24, 2011 - jomushi
Ajali mbaya Iringa

Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T115 ANZ likiwa limepinduka na mizigo kuzagaa baada ya kupata ajali mkoani Iringa jana. Katika ajali hiyo…

Continue Reading....

Bongo movie wakikaguliwa kabla ya pambano

Posted on: May 24, 2011 - jomushi
Bongo movie wakikaguliwa kabla ya pambano

Mbunge wa Ilemela Mh. Highness Kiwia akisalimiana na Steve Nyerere ‘Messi’ wa Bongo Movie Stars kabla ya mchezo. (Picha na John Bukuku wa Full Shangwe)

Continue Reading....

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

Posted on: May 23, 2011 - jomushi
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

Wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kufunguliwa kwa mkutano…

Continue Reading....

Wafungwa wa kesi za EPA wakielekea gerezani

Posted on: May 23, 2011 - jomushi
Wafungwa wa kesi za EPA wakielekea gerezani

Washitakiwa katika kesi ya wizi wa Sh bilioni 1.8 katika Akaunti ya madeni ya nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Farijala Hussein…

Continue Reading....

Dk Mahanga asaidia vicoba Kimanga D’Salaam

Posted on: May 23, 2011 - jomushi
Dk Mahanga asaidia vicoba Kimanga D’Salaam

MBUNGE wa Jimbo la Segerea, Dk. Makongoro Mahanga akikabidhi sh. 500,000 kwa umoja wa VICOBA katika Mtaa Tembomgwaza Kata ya Kimanga, Dar es Salaam wakati…

Continue Reading....

Rais Kikwete ahani msiba wa Shekh Yahya Hussein

Posted on: May 22, 2011 - jomushi
Rais Kikwete ahani msiba wa Shekh Yahya Hussein

Rais Kikwete akipokewa na Hassan Yahya Hussein, Mtoto mkubwa wa Marehemu Sheikh Yahya Hussein alipokwenda kuhani msiba wa mnajimu huyo maarufuf nyumbani kwa Marehemu Magomeni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari