Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 633

Category: Matukio Katika Picha

Comprint International Ltd ndani ya maonesho ya Saba Saba

Posted on: July 7, 2011 - jomushi
Comprint International Ltd ndani ya maonesho ya Saba Saba

Gari la wagonjwa aina ya bajaji lililotengenezwa kisasa likiwa na uwezo mkubwa wa kuhimili miundombinu duni ya barabara maeneo ya vijijini, gari linalotengenezwa nchini Tanzania…

Continue Reading....

Banda la SAMSUNG ndani ya maonesho ya Saba Saba

Posted on: July 7, 2011 - jomushi
Banda la SAMSUNG ndani ya maonesho ya Saba Saba

Wananchi wakiwa nje ya banda la SamSung wakiangalia burudani mbalimbali zinazotolewa nje ya banda hilo katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Saba Saba jijini Dar…

Continue Reading....

Picha mbalimbali ndani ya manesho ya Saba Saba

Posted on: July 7, 2011July 7, 2011 - jomushi
Picha mbalimbali ndani ya manesho ya Saba Saba

Wananchi wakiangalia mfano wa viungo mbalimbali vya mwili wa binadamu na kupewa maelezo ya namna vinavyofanya kazi mwilini, ndani ya banda la Moi kwenye maonesho…

Continue Reading....

Huduma katika banda la Zantel

Posted on: July 6, 2011 - jomushi
Huduma katika banda la Zantel

Baadhi ya wateja wakihudumiwa ndani ya banda la kampuni ya Zantel, kujua huduma mbalimbali zinazoendeshwa na kampuni hiyo. Zantel inashiriki katika maonesho ya 35 ya…

Continue Reading....

Ndani ya banda la Sasatel

Posted on: July 6, 2011July 6, 2011 - jomushi
Ndani ya banda la Sasatel

Muonekano wa banda la Sasatel ndani ya viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Saba Saba. Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Sasatel akitoa huduma…

Continue Reading....

Banda la Mega Investment Arusha ndani ya viwanja vya Saba Saba

Posted on: July 6, 2011 - jomushi
Banda la Mega Investment Arusha ndani ya viwanja vya Saba Saba

Banda la Mega Investment Arusha ndani ya viwanja vya Saba Saba Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Mega, Gladys Kombe (kulia) na Paskazia Manamba (kushoto)…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari