Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 627

Category: Matukio Katika Picha

Dk Bilal amtembelea Malecela Dodoma

Posted on: July 30, 2011 - jomushi
Dk Bilal amtembelea Malecela Dodoma

Waziri Mkuu mstaafu John Malecela (kushoto) akimkaribisha Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal pamoja na mkewe walipomtembelea nyumbani kwake Dodoma. Dk. Bilal (kushoto) akizungumza na…

Continue Reading....

Dk. Bilal aongoza mamia kumzika Prof. Samuel Mushi

Posted on: July 27, 2011July 27, 2011 - jomushi
Dk. Bilal aongoza mamia kumzika Prof. Samuel Mushi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya marehemu Profesa, Samuel Mushi, aliyefariki…

Continue Reading....

Picha mbalimbali za mazishi ya Danny Mwakiteleko Mbeya

Posted on: July 27, 2011July 27, 2011 - jomushi
Picha mbalimbali za mazishi ya Danny Mwakiteleko Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Rungwa Jackson Msome alikuwa mmoja wa viongozi waadamizi wa Serikali waliohudhuria ibada ya mazishi. Pichani Mkuu wa Wilaya hiyo akitoa heshima…

Continue Reading....

Matukio Ya Bungeni Dodoma Leo

Posted on: July 26, 2011 - Rungwe Jr.
Matukio Ya Bungeni Dodoma Leo

Naibu waziri Ofisi  ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Aggrey Mwanri  akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi Dkt. Anthony Mbassa…

Continue Reading....

Picha za matukio Wiki ya Nishati na Madini Viwanja vya Mnazi Mmoja

Posted on: July 26, 2011 - jomushi
Picha za matukio Wiki ya Nishati na Madini Viwanja vya Mnazi Mmoja

Mtaalamu kutoka kitengo cha Mazingira katika Wizara ya Nishati na Madini Bw Silinge akitoa maelezo kwa Mgeni rasmi katika siku ya ufunguzi wa wiki ya…

Continue Reading....

Picha mbalimbali za shughuli za kuagwa kwa marehemu Danny Mwakiteleko jijini Dar es Salaam

Posted on: July 25, 2011July 25, 2011 - jomushi
Picha mbalimbali za shughuli za kuagwa kwa marehemu Danny Mwakiteleko jijini Dar es Salaam

Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Danny Mwakiteleko, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza kwa msafara wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari