Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam wakiswali swala ya Idd. Waislamu wote leo wameungana na Waislamu…
Continue Reading....Category: Matukio Katika Picha
Waziri Membe afanya mazungumza na Balozi wa Libya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe (Mb), akizungumza na Balozi wa Libya nchini, Profesa, Ahmed A. El Ash’hab baada…
Continue Reading....Ni foleni kila ‘sehemu’ jijini Dar es Salaam
Leo maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam yalikuwa na foleni kama yalivyokutwa na mpigapicha wa dev.kisakuzi.com. Pichani ni foleni barabara ya Morogoro eneo…
Continue Reading....Biashara ya nyanya Ilula
Wafanyabiashara wa zao la nyanya Ilula Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, wakinadi bidhaa zao kwa mmoja wa wateja hivi karibuni eneo hilo. (Picha na mpiga…
Continue Reading....Maonesho ya sita ya wajasiriamali wadogo Kanda ya Kusini
MAONESHO ya wajasiriamali wadogo na wakati katika sekta ya Viwanda yanayoratibiwa na Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) Kanda ya Kusini kufanyika mkoani Ruvuma mwaka…
Continue Reading....