Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 39

Category: Matukio Katika Picha

Mkurugenzi Namaingo Business Agency Atembelea Wajasiriamali

Posted on: February 22, 2017 - jomushi
Mkurugenzi Namaingo Business Agency Atembelea Wajasiriamali

Mafunzo yanayotolewa na kampuni hiyo kwa wajasiriamali zaidi ya 400,000 nchini ni ufugaji wa kuku wa chotara, sungura, samaki pamoja na kilimo bishara cha mbogamboga…

Continue Reading....

Baadhi ya Maaskofu Wampaka Mafuta na Kumwombea Rais Magufuli

Posted on: February 22, 2017 - jomushi
Post Tags: Viongozi wa Dini
Baadhi ya Maaskofu Wampaka Mafuta na Kumwombea Rais Magufuli

Askofu wa Good News  for All Ministry,  Dkt. Charles Gadi  akizungumza na waandishi wa habari wakati madhehebu mbalimbali hapa nchini walipomuombea Rais Dkt. John Pombe Magufuli, nchi, pamoja na kumpongeza…

Continue Reading....

Dk Kigwangalla Afunguka Maandhimisho Miaka 25 ya CSSC

Posted on: February 22, 2017 - jomushi
Post Tags: CSSC
Dk Kigwangalla Afunguka Maandhimisho Miaka 25 ya CSSC

  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, ameungana na Wadau wa Tume ya Kikristu ya Huduma za Jamii…

Continue Reading....

UNESCO Youth Forum Yatoa Mbinu za Kujikwamua kwa Vijana

Posted on: February 22, 2017 - jomushi
Post Tags: Ajira kwa Vijana
UNESCO  Youth Forum Yatoa Mbinu za Kujikwamua kwa Vijana

Bwana Jackson Oganga akiwa anatoa maelezo kwa vijana jinsi ya kupata ‘Scholarship’  zinazotolewa sehemu mbalimbali. Mwakilishi wa Asasi ya Kiraia  Global Peace Foundation (GPF) Tanzania…

Continue Reading....

Yatima S.O.S Dar Wamlilia Blogger Chinga One wa TBN

Posted on: February 22, 2017 - jomushi
Post Tags: Wanachama TBN
Yatima S.O.S Dar Wamlilia Blogger Chinga One wa TBN

     Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika Ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Jennifer Livigha aliyekuwa mmiriki wa Blog ya Chinga One katika Hospitali ya…

Continue Reading....

Monduli Yaunga Mkono Vita Dhidi ya Dawa za Kulevya

Posted on: February 22, 2017 - jomushi
Monduli Yaunga Mkono Vita Dhidi ya Dawa za Kulevya

Mkuu wa mkoa akipokea kadi ya CHF wilaya ya Monduli kutoka kwa mkuu wa wilaya hiyo Idd Kimanta, ili kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo.   Baadhi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari