Watoto wa Kike wa Shule ya Msingi Kisaki wakielekea shuleni, bahati mbaya viatu hakuna miguuni kutokana na hali ya umasikini kwenye familia zao. Naona hapa…
Continue Reading....Category: Matukio Katika Picha
Matukio Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Viwanja vya Samora, Iringa
Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw.Juma Ali Simai leo katika uwanja wa…
Continue Reading....Majadiliano Kati ya Viongozi wa MCC na Ujumbe wa Tanzania Washington DC
Viongozi wa Tanzania ukisikiliza kwa makini uongozi wa MCC hawapo pichani wakati wa majadiliano. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano…
Continue Reading....Magauni na Vipodozi kutoka Marekani
Bringing you fashionable designer office wear (calvin klein, Tahari etc) at an affordable price. Everything is 120,000 and 60,000tshs ONLY. Original MAC Lipstick for…
Continue Reading....Maonesho ya Wiki ya Vijana Mjini Iringa Leo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiteta jambo na Mkurugenzi wa Ubunifu na Uvumbuzi wa Kampuni…
Continue Reading....Kampeni ya Ulaji Unaofaa kwa Afya na WFP
Mmoja wa vijana wahamasishaji na mcheza Ngoma akitoa maelezo ya Elimu ya Chakula na Lishe bora kwa wafanyabishara na wananchi mbalimbali waliohudhuria kampeni ya Ulaji…
Continue Reading....