Category: Matukio Katika Picha
Mwananchi- Usifikiri Dampo, ni Kituo Cha Daladala!
Picha ya kwanza, inaonyesha chakula (mapaja ya kuku) kikiuzwa pembezoni mwa kituo cha Mabasi, Banana, wilayani Ilala. Meza zimewekwa juu ya mifereji ya kupitisha Maji…
Continue Reading....Jiji la Dar Bado Limejaa Maji!
Kama picha zinavyoonyesha hapo juu, jiji la Dar limeendelea kutesa wakazi wake kwa madimbwi yaliyosheheni Kila kona baada ya mvua kunyesha. Hapo ni maeneo ya…
Continue Reading....Mkutano wa 28 wa NIMR Waanza Leo Jijini Dar es Salaam
Mkutano wa 28 wa Taasisi ya Taifa ya utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) umeanza leo jijini Dar es Salaam na kufanyika kwa siku tatu…
Continue Reading....Matukio Picha Tamasha la Pasaka Jijini Dar es Salaam
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka akizungumza na mashabiki mbalimbali…
Continue Reading....