Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 291

Category: Matukio Katika Picha

Baba Watoto Center Inavyosaidia Watoto wa Mazingira Magumu

Posted on: June 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Baba Watoto Center
Baba Watoto Center Inavyosaidia  Watoto wa Mazingira Magumu

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Baba Watoto Center, Bw. Mgunga Mwamnyenyelwa kilichopo Mburahati kwa Jongo Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, akizungumzia juu ya kituo…

Continue Reading....

Mzungu Kichaa Kuwachizisha Wanatamasha la ZIFF 2014

Posted on: June 19, 2014 - jomushi
Post Tags: ZIFF 2014
Mzungu Kichaa Kuwachizisha Wanatamasha la ZIFF 2014

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club…

Continue Reading....

Shamra Shamra za Mashindano ya Ngalawa Katika ZIFF 2014

Posted on: June 19, 2014 - jomushi
Shamra Shamra za Mashindano ya Ngalawa Katika ZIFF 2014

  Na Mwandishi Wetu, Zanzibar NGALAWA zote 11 zilizoingia majini kukamilisha mzunguko wa saa mbili wa resi za ngalawa mjini Zanzibar zilimarisha mashamshamu hayo bila…

Continue Reading....

Washindi wa Tiketi ya Washindi wa Tiketi ya Safari ya Brazil na Serengeti WarejeaWarejea

Posted on: June 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Safari ya Brazil na Serengeti
Washindi wa Tiketi ya Washindi wa Tiketi ya Safari ya Brazil na Serengeti WarejeaWarejea

Continue Reading....

Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar

Posted on: June 18, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wiki ya Utumishi wa Umma
Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar

Burudani zikiendelea leo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Continue Reading....

Ziara ya Wajumbe wa Bodi ya NHC na Watendaji Nchini Singapore

Posted on: June 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Wajumbe wa Bodi ya NHC
Ziara ya Wajumbe wa Bodi ya NHC na Watendaji Nchini Singapore

– Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mh. George Simbachawene akiwa na wajumbe wa Bodi ya NHC na Watendaji wa NHC walipotembelea…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari