Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 226

Category: Matukio Katika Picha

Rais Kikwete Awaongoza Wanawake Maadhimisho ya Wanawake Duniani

Posted on: March 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Duniani, Rais Kikwete, wanawake

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake…

Continue Reading....

Wafanyakazi wa MSD Katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake

Posted on: March 9, 2015 - jomushi
Post Tags: MSD, Siku ya Wanawake, Wafanyakazi
Wafanyakazi wa MSD Katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya Akina Mama Duniani zilizofanyika. Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati…

Continue Reading....

Yanga, Simba Wapaza Sauti Kampeni za Kupinga Mauaji ya Albino

Posted on: March 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Imetosha, Mauaji ya Albino, Simba, yanga
Yanga, Simba Wapaza Sauti Kampeni za Kupinga Mauaji ya Albino

Continue Reading....

Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Kigali, Rwanda

Posted on: March 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Kigali, Rais Jakaya Kikwete, Rwanda
Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Kigali, Rwanda

 Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kwa furaha  sahada la maua baada ya kuwasili Kigali, Rwanda,…

Continue Reading....

Shirika la Nyumba Wazindua Nyumba Dar

Posted on: March 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Shirika la Nyumba
Shirika la Nyumba Wazindua Nyumba Dar

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanya mahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirika la…

Continue Reading....

Ukarabati Bwawa la Kalemawe Kunufaisha Wakazi 10,000

Posted on: March 7, 2015 - jomushi
Post Tags: Bwawa la Kalemawe
Ukarabati Bwawa la Kalemawe Kunufaisha Wakazi 10,000

Mshehereshaji wa kongamano la siku moja lililofanyika jijini Dar kuzungumzia ukarabati na uendeshaji wa bwawa la Kalemawe lililopo wilayani Same mkoani Kilimanjaro, Mtaalamu wa masuala…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari