Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 133

Category: Matukio Katika Picha

TCRA na Semina ya Kuzitambua Simu Feki Zanzibar…!

Posted on: February 3, 2016 - jomushi
Post Tags: TCRA
TCRA na Semina ya Kuzitambua Simu Feki Zanzibar…!

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Innocent Mungy, akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar kuhusiana na kutambua Simu Feki na kudhibiti uingiaji wa…

Continue Reading....

Guinea Yatupwa Nje CHAN,DR Congo Yatinga Fainali

Posted on: February 3, 2016 - Yohana Chance
Guinea Yatupwa Nje CHAN,DR Congo Yatinga Fainali

Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imefuzu kwa fainali ya mchuano wa CHAN. Jamhuri ya Demokrasia ya Congo ilijikatia tikiti ya fainali baada ya kuilaza Guinea…

Continue Reading....

Mnyama Simba Aunguruma Taifa, Yanga Yapigishwa Kwata Mbeya

Posted on: February 3, 2016February 3, 2016 - Yohana Chance
Mnyama Simba Aunguruma Taifa, Yanga Yapigishwa Kwata Mbeya

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo February 3 kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja tofauti tofauti Tanzania, klabu ya Dar Es Salaam Young…

Continue Reading....

Kumbe Sio Ipo Bongo tu, Hata Neymar Alidalaliwa

Posted on: February 3, 2016February 3, 2016 - Yohana Chance
Kumbe Sio Ipo Bongo tu, Hata Neymar Alidalaliwa

Mchezaji wa Brazil Neymar aliitwa Mahakamani kutoa ushahidi katika mahakama moja ya Uhispania kuhusu madai ya ufisadi yanayozunguka uhamisho wake katika kilabu ya Barcelona. Aliyekuwa…

Continue Reading....

Simba Wapo Kifedha Zaidi, Wafungua Duka La Kisasa Jijini Dar Es Salaam

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Simba Wapo Kifedha Zaidi, Wafungua Duka La Kisasa Jijini Dar Es Salaam

Klabu ya Simba SC leo imeamua kufanya kweli baada ya kuzungumza mambo mengi ambayo mwisho wa siku yalikuwa yamebaki kwenye makaratasi. Klabu hiyo leo wamezundua…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ashiriki Ibada ya Kumuingiza Madarakani Askofu Shoo

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ashiriki Ibada ya Kumuingiza Madarakani Askofu Shoo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo (kulia) na Askofu Mkuu wa KKKT…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari