Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili mjini Singida jana jioni, kwa ajili ya maadhimisho ya…
Continue Reading....Category: Matukio Katika Picha
Kwa Mwendo Huu wa Barcelona Wengi Watalia Mwaka Huu
Klabu ya Valencia chini ya nyota wa zamani wa Manchester United Gary Neville ilipokezwa kichapo cha mwaka na klabu ya Barcelona katika nusufainali ya michuano…
Continue Reading....Waajiriwa Waomba Serikali Kudhibiti Rushwa Maofisini
Na Woinde Shizza,Arusha Chama cha Waajiri nchini kimelalamikia vitendo vya rushwa kuwa vikwazo katika biashara hivyo wameiomba serikali kukemea vitendo vya rushwa pamoja na urasimu…
Continue Reading....Madiwani Halmashauri ya Arusha DC Wilaya ya Arumeru Wapitisha Taarifa Halmashauri Hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha DC wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha,Fidelis Lumato akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani,kulia ni Mwenyekiti wa…
Continue Reading....Maadhimisho ya Miaka 39 ya Kuzaliwa kwa CCM Singida
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akilakiwa na wakina mama…
Continue Reading....Sheikh Issa Ponda Apinga Kurudiwa Uchaguzi Zanzibar
Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa ya…
Continue Reading....