Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Matukio Katika Picha
  • Page 123

Category: Matukio Katika Picha

Manchester City Mabingwa Wapya Kombe la Capital One

Posted on: February 29, 2016February 29, 2016 - Yohana Chance
Manchester City Mabingwa Wapya Kombe la Capital One

Klabu ya Manchester City wameshinda Kombe la Capital One baada ya kuwashinda Liverpool kwenye fainali kupitia mikwaju ya penalti. Willy Caballero ndiye aliyekuwa shujaa wa…

Continue Reading....

Kilimanjaro Marathoni Ilivyotakatisha Mkoa Wa Kilimanjaro

Posted on: February 29, 2016 - Yohana Chance
Kilimanjaro Marathoni Ilivyotakatisha Mkoa Wa Kilimanjaro

mashindano ya Riadha Maarufu kama Kilimanjaro Marathoni yalitimua vumbi mkoani Kilimanjaro mwishoni mwa wiki huku Waziri Mwenye dhamana ya Michezo Nape Nnauye Akiwa Mgeni Rasmi…

Continue Reading....

Dogo Wa Mashetani Atupia Mbili na Kuwatuliza Arsenal Ndani ya Old Trafford

Posted on: February 28, 2016 - Yohana Chance
Dogo Wa Mashetani Atupia Mbili na Kuwatuliza Arsenal Ndani ya Old Trafford

Timu ya Arsenal imepoteza hesabu za kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya uingereza msimu huu baada ya kukubali kichapo cha Mabao 3-2 dhidi ya Manchester…

Continue Reading....

Uzinduzi wa Intaneti ya Kasi zaidi ya Tigo 4g Kilimanjaro

Posted on: February 28, 2016 - jomushi
Uzinduzi wa Intaneti ya Kasi zaidi ya Tigo 4g Kilimanjaro

  Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata akiongea na wageni waalikwa na wanahabari wakati wa hafla ya uzinduzi wa  intaneti yenye kasi ya…

Continue Reading....

Rais Magufuli Awasili Arusha Kuongoza Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Afrika Mshariki

Posted on: February 28, 2016February 28, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli  Awasili Arusha Kuongoza Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Afrika Mshariki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda mara baada ya…

Continue Reading....

Baraza la Madiwani wa Halamshauri ya Manispaa ya Moshi Wakutana na Kujadili Mustakabali wa Maendeleo

Posted on: February 28, 2016 - Yohana Chance
Baraza la Madiwani wa Halamshauri ya Manispaa ya Moshi Wakutana na Kujadili Mustakabali wa Maendeleo

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jesh Lupembe akizungumza katika kikao cha baraza la Madiwani wa Halamshauri hiyo Baadhi ya watendaji wa Halmashari ya Manispaa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari