Umoja wa Watu kutoka Bengali, India wanaoishi Tanzania (Bango Sangho) unataraji kutoa huduma ya upimaji wa afya bure kwa watoto walio na umri chini ya…
Continue Reading....Category: Matukio Katika Picha
Rais Magufuli Ashtukiza BoT, Atoa Agizo la Kusitiza Ulipaji wa Malimbikizo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania BOT kabla ya kuzungumza na…
Continue Reading....Chelsea Yatupwa nje Michuano ya UEFA Baada ya Kuchapwa na PSG
Klabu ya PSG imezima ndoto za Chelsea kusonga mbele kwenye michuano ya mabingwa Ulaya kwa mara nyingine baada ya Zlatan Ibrahimovich kuifungia bao la ushindi…
Continue Reading....Aliyechezesha Simba na Yanga, Sasa Kucezesha Kombe la Dunia
Mwamuzi wa kike wa Kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Jonesia Rukyaa ameteuliwa kuungana na waamuzi kutoka nchini Kenya kuchezesha mchezo wa kuwania kufuzu…
Continue Reading....Mapokezi ya Lulu yafunika, Apongezwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa
Msanii Eliabeth Michael Lulu akiwasili kutokea nchini Nigeria akiwa na Tunzo yake mkononi ambayo alishinda nchini Nigeria katika Mashindano ya Africa Magic Viewers Choice Awards…
Continue Reading....