Category: Matukio Katika Picha
Barcelona Haishikiki La Liga, Getafe Achapwa Sita Camp Nou
Barcelona imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Getafe katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Camp Nou. Katika mchezo huo,…
Continue Reading....Manchester City Yaanza Kupoteza Matumaini ya Ligi Kuu Uingereza
Matumaini ya Manchester City ya kutaka kushinda ligi ya Uingereza msimu huu yamedidimia baada ya kutoka sare ya 0-0 na kilabu ya Norwich City na…
Continue Reading....Mkurugenzi wa Radio France Internationale (RFI) Bi. Megie Amtembelea Waziri Wambura
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaana Michezo Mhe.Anastazia Wambura akimkaribisha Mkurugenzi wa Radio France Internationale (RFI) Bi.Cecile Megie ofisini kwake alipomtembelea kwaajili ya kufahamiana na…
Continue Reading....Liverpool Yazima Ndoto za Manchester United Kubeba Ndoo ya EUROPA
Mashetani wekundu wa Man United wameambulia kichapo cha mabao 2-0 na Liverpool katika mchezo uliopigwa katika dimba la Anfield, Dany Sturridge, alifunga goli la kwanza…
Continue Reading....Spurs Yaangukia Pua Ujerumani Kwenye Uwanja wa Iduna Park
Klabu ya Tottenham Hotspurs wakicheza ugenini katika dimba Signal Iduna Park huko nchi Ujeruman wamekubali kichapo cha mabao 3-0 . Pierre-Emerick Aubameyang ndie aliyeanza kuifunga…
Continue Reading....