Category: Matukio Katika Picha
Mwanasaikolojia Awafunda Wajasiriamali wa Vipodozi Dodoma
MWANASAIKOLOJIA Anti Sadaka amewafunda wanawake wa Mkoa wa Dodoma wanaoshiriki mafunzo ya ujasiriamali ya kujikita katika biashara ya Vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanaendeshwa…
Continue Reading....Rais Dkt Magufuli Awasili Chato Mkoani Geita Kwa Mara ya Kwanza Tangu Awe Rais
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezikiel Elias Kyunga kulia…
Continue Reading....Waziri Prof Mbarawa Ahimiza Taasisi Kutumia Kituo cha Taarifa cha Taifa
Mkuu wa Idara ya Mfumo wa Habari wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Khalfa Ally (kwanza kulia) akielezea namna Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia…
Continue Reading....Rais Dkt. Magufuli Amuapisha Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu…
Continue Reading....Rais Dkt. Magufuli Apokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu zaSerikali Kutoka kwa Mkuguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu…
Continue Reading....