Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph akibadilishana mawazo na Mkurugenzi…
Continue Reading....Category: Habari za Vijijini
Wanakijiji Kilombero Kumburuza Mwekezaji Mahakamani
Mwangalizi wa LHRC, Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi mwekezaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya Union ambaye…
Continue Reading....UNESCO, MWEDO Kuwapelekea Digitali Wamasai Ololosokwan
Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya Maendeleo ya wanawake wa Kimasai (MWEDO), Ndinini Kimesera (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi Mkazi wa Unesco nchini, Zulmira Rodrigues kwenye ofisi za…
Continue Reading....Unyama: Mwenyekiti wa Kijiji Auwawa, Viungo Vyake Vyapikwa
NI unyama wa kutisha umetokea katika Kijiji cha Songambele wilayani Mlele mkoani Katavi watu wawili wamemvamia Mwenyekiti wa Kijiji cha Songambele kisha kumuuwa kwa kutenganisha…
Continue Reading....Ulevi kwa Wazazi Kikwazo cha Malezi Kata ya Tembela
KITENDO cha baadhi ya wazazi kuendekeza unywaji wa pombe za kienyeji katika baadhi ya vijiji vilivyopo Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini kimesababisha wazazi…
Continue Reading....Familia Newala Zachangia Kuwalinda Wanyanyasaji
MKUU wa Polisi Wilaya ya Newala (OCD), Jeremiah Shila amesema baadhi ya wanafamilia wilayani hapo wamekuwa kikwazo kwa mapambano dhidi ya vitendo anuai vya kikatili…
Continue Reading....