Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Vijijini
  • Page 8

Category: Habari za Vijijini

Mobisol Yanufaisha Familia Elfu 30 na Umeme wa Jua

Posted on: November 18, 2015November 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Umeme wa Jua

KAMPUNI ya Mobisol yenye makao yake makuu mjini Berlini nchini ujerumani ambayo inajihusisha na uzalishaji wa umeme wa jua tayari imewaunganisha wateja wapatao 30,000 nchini…

Continue Reading....

Agrics Yakabidhi Mbegu za Mahindi na Alizeti kwa Wakulima Mikoa ya Shinyanga na Simiyu

Posted on: October 19, 2015October 19, 2015 - jomushi
Post Tags: wakulima

KAMPUNI ya Agrics imetimiza ahadi ya kuwakabidhi mbegu bora za mahindi, alizeti na mbolea wakulima wa Maswa, Meatu na Shinyanga vijijini. Zoezi hili limefanyika kwa…

Continue Reading....

UNESCO Kutekeleza Mradi Kuinua Bidhaa za Kimasai

Posted on: June 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Ngorongoro, UNESCO, Wamasai
UNESCO Kutekeleza Mradi Kuinua Bidhaa za Kimasai

Na Joachim Mushi, Ngorongoro SHIRIKA la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania linatarajia kutekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa…

Continue Reading....

Prisca Mpesya Mama Anayeteseka na Watoto Albino

Posted on: March 17, 2015 - jomushi
Post Tags: Albino, Prisca Mpesya
Prisca Mpesya Mama Anayeteseka na Watoto Albino

Ndugu zangu, LICHA ya kuuguza jeraha la kichwani pamoja na kumuuguza mtoto wake mdogo mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) aliyekatwa mkono na watu wasiojulikana, Bi.…

Continue Reading....

Balozi Umoja wa Ulaya Atembelea Skimu ya Kiroka, Morogoro

Posted on: March 13, 2015 - jomushi
Post Tags: Balozi, EU, Morogoro, Skimu Kiroka
Balozi Umoja wa Ulaya Atembelea Skimu ya Kiroka, Morogoro

Msimamizi wa mradi wa FAO kijiji cha Kiroka mkoani Morogoro, Ajuaye Sigalla, akitoa muhtasari wa maendeleo ya mradi FAO unaotekelezwa na wanakikundi wa Umoja wa…

Continue Reading....

Wamasai Walia na Uwekezaji Ngorongoro

Posted on: February 10, 2015 - jomushi
Post Tags: Ngorongoro, Uwekezaji, Wamasai
Wamasai Walia na Uwekezaji Ngorongoro

  Kiongozi wa mila tarafa ya Ngorongoro, Augustino Pakai Olonyokei akizungumza na Meneja uendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige aliyefika eneo hilo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari