Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Vijijini
  • Page 3

Category: Habari za Vijijini

Wanakijiji Kakola Waudai Fidia Mgogi wa Bulyanhulu

Posted on: June 21, 2017 - jomushi
Wanakijiji Kakola Waudai Fidia Mgogi wa Bulyanhulu

WAKAZI wa Kijiji cha Kakola, Kata ya Bulyanhulu, Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameazimia kufanya maandamano yasiyo na ukomo kushinikiza mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu kuwalipa…

Continue Reading....

DC Hai ‘Avamia’ Shamba la Mbowe, Ang’oa Mfumo wa Umwagiliaji…!

Posted on: June 14, 2017 - jomushi
DC Hai ‘Avamia’ Shamba la Mbowe, Ang’oa Mfumo wa Umwagiliaji…!

  Mkuu wa Wilaya ya Hai ,Gelasius Byakanwa akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Hai katika lango la kuingilia katika shamba la…

Continue Reading....

COSTECH, OFAB Waendesha Mafunzo kwa Maofisa Ugani Geita

Posted on: May 28, 2017 - jomushi
COSTECH, OFAB Waendesha Mafunzo kwa Maofisa Ugani Geita

  Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Mbogwe, (kulia), Elias Kayandabila, akizungumza  na waandishi wa habari, walioongozana na wataalamu wa kilimo kutoka Tume ya Taifa…

Continue Reading....

Wananchi Kijiji cha Uhambila Wajadili Utunzaji Maliasili na Vyanzo vya Maji

Posted on: May 16, 2017 - jomushi
Wananchi Kijiji cha Uhambila Wajadili Utunzaji Maliasili na Vyanzo vya Maji

Baadhi ya wananchi wakisikiliza kinachoendelea kwenye mkutano wa kijiji wa kujadili maswala ya utunzaji wa vyanzo vya maji pamoja Maliasili za kijiji hicho.   Na…

Continue Reading....

Wananchi Waiomba Serikali Kukamilisha Daraja SIBITI

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Wananchi Waiomba Serikali Kukamilisha Daraja SIBITI

    WANANCHI wa kata ya Mpambala, wilaya ya Mkalama mkoani Singida wameiomba Serikali kuhakikisha inamaliza ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti haraka iwezekanavyo ili…

Continue Reading....

Mvua Zakata Mawasiliano Chalinze, Wananchi Wabebwa Kuvushwa…!

Posted on: April 10, 2017 - jomushi
Mvua Zakata Mawasiliano Chalinze, Wananchi Wabebwa Kuvushwa…!

  MBUNGE wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete,akiangalia barabara kutoka Vigwaza-Mwavi iliyoharibika vibaya eneo la Buyuni hali inayosababisha magari kushindwa kupita.   Mbunge wa jimbo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari