Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Uchunguzi
  • Page 3

Category: Habari za Uchunguzi

Maisha ya ‘Geto’ Changamoto kwa Wanafunzi Sekondari za Kata Tanga

Posted on: March 25, 2014March 26, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, tanga
Maisha ya ‘Geto’ Changamoto kwa Wanafunzi Sekondari za Kata Tanga

UJENZI wa Sekondari za Kata katika mikoa mbalimbali umesogeza huduma za elimu kwa baadhi ya maeneo. Ipo mikoa ambayo awali ilikuwa na shule chache za…

Continue Reading....

Mapya Yaibuka Ndoa Iliyovunjwa na Mahakama Nkasi, Yadaiwa Mume ‘Alimbaka’ Mwanafunzi…!

Posted on: January 14, 2014 - jomushi
Mapya Yaibuka Ndoa Iliyovunjwa na Mahakama Nkasi, Yadaiwa Mume ‘Alimbaka’ Mwanafunzi…!

Na Joachim Mushi, Nkasi-Rukwa SAKATA la ndoa iliyovunjwa na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa limeingia katika sura mpya baada ya uchunguzi…

Continue Reading....

Mahakama Nkasi Yalalamikiwa Kuvunja Ndoa Yenye Mgogoro Bila Kugawanya mali

Posted on: January 8, 2014 - jomushi
Mahakama Nkasi Yalalamikiwa Kuvunja Ndoa Yenye Mgogoro Bila Kugawanya mali

Na Joachim Mushi, Nkasi MAHAKAMA ya Mwanzo Namanyere wilayani Nkasi imelalamikiwa kwa kitendo cha kuvunja ndoa iliyokuwa na mgogoro kwa wanandoa bila kugawanya mali iliyochumwa…

Continue Reading....

Mume Amuua Mkewe kwa Kipigo Tanga

Posted on: October 9, 2013 - jomushi
Mume Amuua Mkewe kwa Kipigo Tanga

  Hili ndilo kaburi la marehemu, Bi. Rahima.   Kitambulisho cha Bi. Rahima.   Super Woman Joyce Kiria (kulia katika mahojiano na shuhuda) KESI za unyanyasaji dhidi…

Continue Reading....

Haya Ndio Madudu ya Baadhi ya Wanafunzi Waliofaulu Kidato cha Kwanza 2012 Rombo

Posted on: October 7, 2013October 7, 2013 - jomushi
Haya Ndio Madudu ya Baadhi ya Wanafunzi Waliofaulu Kidato cha Kwanza 2012 Rombo

Mtihani wa majaribio ambao mtoto aliyefaulu kidato cha kwanza 2012 alijaribiwa wilaya ya Rombo. Mtihani wa majaribio ambao mtoto aliyefaulu kidato cha kwanza alijaribiwa. Wapo…

Continue Reading....

Mzee Kingunge Asiturudishe Nyuma Kwenye Hoja ya Uraia Pacha!

Posted on: September 1, 2013September 1, 2013 - Rungwe Jr.
Mzee Kingunge Asiturudishe Nyuma Kwenye Hoja ya Uraia Pacha!

Mzee Kingunge Ngombare Mwiru Babu yetu mzee Kingunge Ngombare Mwiru amenukuliwa kwenye vyombo vya habari Leo akipinga hoja ya Tanzania kuruhusu raia wake kuwa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari