Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Uchunguzi
  • Page 15

Category: Habari za Uchunguzi

Hali si shwari Songea, takribani 16 wadaiwa kuuwawa kikatili, wanyofolewa sehemu za siri

Posted on: February 22, 2012February 22, 2012 - jomushi
Hali si shwari Songea, takribani 16 wadaiwa kuuwawa kikatili, wanyofolewa sehemu za siri

Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com, Songea HALI ya usalama kwa sasa ni tete katika Manispaa ya Songea kutokana na mauaji ya kikatili ambayo yanaendelea kutokea mfululizo…

Continue Reading....

Ujenzi wa shule za kata waleta vituko elimu ya sekondari

Posted on: February 11, 2012 - jomushi
Ujenzi wa shule za kata waleta vituko elimu ya sekondari

Na Joachim Mushi Rukwa UJENZI wa Shule za Sekondari kwa kila Kata maarufu kama ‘sekondari za kata’ katika mikoa anuai umeongeza vituko kwenye sekta ya…

Continue Reading....

Siasa isitumike kuua elimu ya sekondari

Posted on: February 11, 2012 - jomushi
Siasa isitumike kuua elimu ya sekondari

Na Joachim Mushi HATUA ya Serikali kuamua kujikita kutatua upungufu wa shule za sekondari nchini ni nzuri. Nasema ni nzuri kwa kuwa hivi sasa kuna…

Continue Reading....

Taarifa ya utafiti juu ya hali ya Shule za Sekondari za Kata Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa

Posted on: February 11, 2012February 11, 2012 - jomushi
Taarifa ya utafiti juu ya hali ya Shule za Sekondari za Kata Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa

Taarifa ya utafiti juu ya hali ya Shule za Sekondari za Kata Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa Mwandishi: Joachim Mushi Gazeti: Jambo Leo Anwani:…

Continue Reading....

Wizara ya Ujenzi yakanusha malipo hewa mkandarasi

Posted on: February 3, 2012 - jomushi
Wizara ya Ujenzi yakanusha malipo hewa mkandarasi

KATIKA gazeti la Raia Mwema la tarehe 1 Februari 2012 iliandikwa taarifa na Mwandishi aliyejitambulisha kwa jina la Mwandishi wetu akidai kuwepo kwa malipo hewa…

Continue Reading....

Azra Vuyo kichanga anayetumikia ‘kifungo’ cha wazazi wake

Posted on: January 27, 2012 - jomushi
Azra Vuyo kichanga anayetumikia ‘kifungo’ cha wazazi wake

*Alizaliwa gerezani na anakulia gerezani Na Joseph Mwaisango wa MBEYA YETU BLOG WAKATI Tanzania ikiwa imeridhia mkataba wa kimataifa wa kutekeleza na kulinda haki za…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari