Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Uchunguzi
  • Page 11

Category: Habari za Uchunguzi

Wanafunzi wa darasa la tatu Korogwe wasomea uchochoroni

Posted on: August 8, 2012 - jomushi
Wanafunzi wa darasa la tatu Korogwe wasomea uchochoroni

Na Joachim Mushi, Korogwe WANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Silabu iliyopo Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga wanasomea kwenye uchochoro unaotenganisha kati…

Continue Reading....

Waliobainika kutojua kusoma, kuandika sekondari waendelea na shule

Posted on: August 7, 2012 - jomushi
Waliobainika kutojua kusoma, kuandika sekondari waendelea na shule

Na Joachim Mushi, Korogwe WANAFUNZI waliojiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka huu katika shule za Serikali na baadaye kubainika kuwa hawajui kusoma na…

Continue Reading....

Maganzo: Mji wenye utajiri wa almasi usio na huduma ya maji

Posted on: July 30, 2012 - jomushi
Maganzo: Mji wenye utajiri wa almasi usio na huduma ya maji

Na Joachim Mushi, Kishapu KWA mtazamo wa kawaida ni kitendo cha kawaida kwa mji wowote kuendelea kutokana na rasilimali zake zinaouzunguka mji huo. Maeneo mengi…

Continue Reading....

Zanzibar kununua meli baada ya ajali

Posted on: July 29, 2012 - jomushi
Zanzibar kununua meli baada ya ajali

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameiagiza Wizara ya Nchi Afisi ya Rais…

Continue Reading....

Ripoti ya Utafiti wa TAMWA 2012 kuhusu Ukatili wa Kijinsia katika Jamii Tanzania Bara

Posted on: July 10, 2012July 10, 2012 - jomushi
Ripoti ya Utafiti wa TAMWA 2012 kuhusu Ukatili wa Kijinsia katika Jamii Tanzania Bara

RIPOTI YA UTAFITI WA TAMWA KUHUSU UNYANYASAJI WA KIJINSIA 1.0 UTANGULIZI CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), katika mpango mkakati wake wa miaka mitano…

Continue Reading....

Unyanyasaji wanawake unatishia juhudi za maendeleo kijamii

Posted on: July 5, 2012July 5, 2012 - jomushi
Unyanyasaji wanawake unatishia juhudi za maendeleo kijamii

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com SERA ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya Mwaka 2000, imenukuu sehemu ya Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari