Meneja wa timu ya Liverpool Jurgen Klopp ameitaja mechi ya leo Alhamisi ya kombe la Europa kati ya Liverpool na Manchster United kuwa mechi kubwa…
Continue Reading....Category: Michezo
Chelsea Yatupwa nje Michuano ya UEFA Baada ya Kuchapwa na PSG
Klabu ya PSG imezima ndoto za Chelsea kusonga mbele kwenye michuano ya mabingwa Ulaya kwa mara nyingine baada ya Zlatan Ibrahimovich kuifungia bao la ushindi…
Continue Reading....Yanga Yakwea Pipa Kuelekea Rwanda Kuikabili APR Ligi ya Mabingwa
Na; binzubeiry.co.tz YANGA SC inapanda ndege leo kwenda Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza, Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi…
Continue Reading....Simba Kushuka Dimbani Leo, Kagera Sugar Wabaniwa na Prison
BAO pekee la mshambuliaji Ally Ahmed ‘Shiboli’ jana limeipa ushindi wa 1-0 Coastal Union dhidi ya ndugu zao, Mgambo JKT katika mchezo wa Ligi Kuu…
Continue Reading....Aliyechezesha Simba na Yanga, Sasa Kucezesha Kombe la Dunia
Mwamuzi wa kike wa Kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Jonesia Rukyaa ameteuliwa kuungana na waamuzi kutoka nchini Kenya kuchezesha mchezo wa kuwania kufuzu…
Continue Reading....Mohamed Mkopi wa Prison Mchezaji Bora wa Mwezi Apewa Milioni Moja
Mshambuliaji Mohamed Mkopi wa timu ya Tanzania Prisons amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Februari kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu wa 2015/2015. Mkopi katika…
Continue Reading....