Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 98

Category: Michezo

Mkurugenzi wa Radio France Internationale (RFI) Bi. Megie Amtembelea Waziri Wambura

Posted on: March 11, 2016March 11, 2016 - Yohana Chance
Mkurugenzi wa Radio France Internationale (RFI) Bi. Megie Amtembelea Waziri Wambura

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaana Michezo Mhe.Anastazia Wambura akimkaribisha Mkurugenzi wa Radio France Internationale (RFI) Bi.Cecile Megie ofisini kwake alipomtembelea kwaajili ya kufahamiana na…

Continue Reading....

Aguero Agoma Kuongeza Mkataba Man City, Afikilia Kustaafu

Posted on: March 11, 2016 - Yohana Chance
Aguero Agoma Kuongeza Mkataba Man City, Afikilia Kustaafu

Mshambuliaji wa kilabu ya Manchester City Sergio Aguero amesema kuwa atakihama kilabu hicho wakati Mkataba wake utakapokamilika. Rai huyo wa Argentina ana mkataba wa miaka…

Continue Reading....

Liverpool Yazima Ndoto za Manchester United Kubeba Ndoo ya EUROPA

Posted on: March 11, 2016 - Yohana Chance
Liverpool Yazima Ndoto za Manchester United Kubeba Ndoo ya EUROPA

Mashetani wekundu wa Man United wameambulia kichapo cha mabao 2-0 na Liverpool katika mchezo uliopigwa katika dimba la Anfield, Dany Sturridge, alifunga goli la kwanza…

Continue Reading....

Spurs Yaangukia Pua Ujerumani Kwenye Uwanja wa Iduna Park

Posted on: March 11, 2016 - Yohana Chance
Spurs Yaangukia Pua Ujerumani Kwenye Uwanja wa Iduna Park

Klabu ya Tottenham Hotspurs wakicheza ugenini katika dimba Signal Iduna Park huko nchi Ujeruman wamekubali kichapo cha mabao 3-0 . Pierre-Emerick Aubameyang ndie aliyeanza kuifunga…

Continue Reading....

Simba SC Imelejea Kileleni Mwa Ligi Kuu Tanzania Bara Baada ya Ushindi wa Leo

Posted on: March 10, 2016March 10, 2016 - Yohana Chance
Simba SC Imelejea Kileleni Mwa Ligi Kuu Tanzania Bara Baada ya Ushindi wa Leo

Na; binzubeiry.co.tz Klabu ya Simba SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 3-0 jioni ya leo dhidi ya…

Continue Reading....

Eboue Aibukia Sunderland Akitokea Gatasalay ya Uturuki

Posted on: March 10, 2016 - Yohana Chance
Eboue Aibukia Sunderland Akitokea Gatasalay ya Uturuki

Beki wa zamani wa Arsenal Emmanuel Eboue, amejiunga na timu ya Sunderland inayoshiriki ligi kuu ya England. Eboue, mwenye mwenye miaka 32, alikuwa mchezaji huru…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari