Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 89

Category: Michezo

Mchezaji wa Arsenal Ajikuta Njia Panda Mwenyewe

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Mchezaji wa Arsenal Ajikuta Njia Panda Mwenyewe

Nchi ya Uingereza iko mbioni kumzuia nyota wa Arsenal Alex Iwobi asijiunge na timu ya Super Eagles ya Nigeria. Hii ni kutokana na kauli ya…

Continue Reading....

Msafara wa Taifa Stars Kuongozana na Rais Kuelekea Chad

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Msafara wa Taifa Stars Kuongozana na Rais Kuelekea Chad

Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), Ravia Idarus Faina ndiye mkuu wa msafara wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, anatarajiwa kuondoka Dar…

Continue Reading....

Kipa wa Klabu ya Arsenal Atangazwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Kipa wa Klabu ya Arsenal Atangazwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka

Golikipa wa kimataifa ya Jamuhuri ya Czech Petr Cech ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa nchi hiyo. Cech Mwenye umri wa miaka 33,alichaguliwa na…

Continue Reading....

Waziri Majaliwa Abisha Hodi TFF

Posted on: March 21, 2016March 22, 2016 - Yohana Chance
Waziri Majaliwa Abisha Hodi TFF

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Tanzania Footbal Federation (TFF) ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 21, 2016 Kutoka kushoto ni Katibu…

Continue Reading....

Twiga Stars Yang’olewa Kibishi Baada ya Sare

Posted on: March 21, 2016 - Yohana Chance
Twiga Stars Yang’olewa Kibishi Baada ya Sare

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania Twiga Stars imetupwa nje katika michezo ya kusaka tiketi ya kuwania kuzufu kwa michuano ya kombe la mataifa…

Continue Reading....

Kicheko Chatawala Mtaa wa Chamanzi Baada ya Azam Kupata Ushindi

Posted on: March 21, 2016 - Yohana Chance
Kicheko Chatawala Mtaa wa Chamanzi Baada ya Azam Kupata Ushindi

Timu ya Azam FC imefanikiwa kusonga mbele katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika bada ya kuwachapa Bidvest FC kwa jumla ya mabao 7-3 Katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari