Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 366

Category: Michezo

RHINO SPORTS YAUZWA MBEYA

Posted on: July 27, 2011 - jomushi
RHINO SPORTS YAUZWA MBEYA

Halmashauri ya Jiji la Mbeya (Mbeya City Council) imeinunua timu ya daraja la kwanza ya Rhino Sports Club ya Arusha. Hivyo timu hiyo sasa makao…

Continue Reading....

MTIHANI WA UWAKALA WA FIFA IJUMAA

Posted on: July 27, 2011 - jomushi
MTIHANI WA UWAKALA WA FIFA IJUMAA

Logo ya FIFA MTIHANI wa Uwakala wa Wachezaji wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Septemba 29 mwaka huu. Mtihani huo utakaokuwa…

Continue Reading....

Kuiona Shelisheli na U23 taifa sh 5,000/-

Posted on: July 26, 2011 - jomushi
Kuiona Shelisheli na U23 taifa sh 5,000/-

Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 (U23) itacheza mechi mbili za kirafiki za kimataifa…

Continue Reading....

MECHI YA SIMBA NA YANGA NGAO YA JAMII YASOGEZWA MBELE

Posted on: July 25, 2011July 25, 2011 - jomushi
MECHI YA SIMBA NA YANGA NGAO YA JAMII YASOGEZWA MBELE

MECHI ya Ngao ya Jamii (Community Shield) kufungua msimu wa Ligi Kuu ya Vodacom 2011/2012 kati ya Yanga na Simba iliyokuwa ichezwe Agosti 13 mwaka…

Continue Reading....

Vilabu vya Toto, Kagera, Moro utd, JKT, Villa na Mtibwa vyaomba uthibitisho wa wachezaji

Posted on: July 24, 2011July 24, 2011 - jomushi
Vilabu vya Toto, Kagera, Moro utd, JKT, Villa na Mtibwa vyaomba uthibitisho wa wachezaji

Vilabu vya Toto African, Kagera Sugar, Moro Utd, Oljoro JKT, Villa Squad na Mtibwa Sugar vimeliandikia Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuomba uthibitisho wa wachezaji…

Continue Reading....

TFF yamfungia mwamuzi miaka 5

Posted on: July 24, 2011 - jomushi
TFF yamfungia mwamuzi miaka 5

KAMATI ya Rufani ya TFF iliyokaa Julai 23 mwaka huu imesikiliza rufani iliyokatwa na Mwamuzi wa Daraja la Kwanza, Kamwanga Tambwe. Baada ya kuangalia nyaraka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari